FUPA LILILOMSHINDA MTANI, MIKONONI MWA MNYAMA

MBINU za makocha wawili zitakuwa kazini leo kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa. Ni Roberto Oliveira wa Simba dhidi ya Moses Basena wa Ihefu. Oliveira ameliambia amesema kuwa wanahitaji pointi tatu kama ambavyo Basena mrithi wa mikoba ya Zuber Katwila naye anahitaji kuona wakikomba pointi hizo muhimu. Hapa tunakuletea…

Read More

MZUNGUKO WA KWANZA HESABU KUBWA ZINAHITAJIKA

WAKATI wa mavuno kwa timu shiriki Ligi Kuu Bara na Championship ni mzunguko wa kwanza. Hapa timu ambazo zinafanikiwa kuanza kwa hesabu kubwa huwa zinamaliza vizuri. Kikubwa ambacho kinawafanya wamalize vizuri ni ule mwendelezo wa kujiamini. Kushinda mchezo mmoja kunaongeza hali ya kuendelea kupambana kwa ajili ya mechi inayofuata. Licha ya kwamba mchezo wa mpira…

Read More

AZAM FC DAKIKA 180 NI MATESO

NDANI ya dakika 180, ukuta wa Azam FC umeruhusu mabao sita katika mechi za Ligi Kuu Bara. Ilianza dhidi ya Yanga 3-2 Azam FC huku mabao yote Kwa Azam FC yalifungwa na Aziz KI. Oktoba 28 2023 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 1-3 Namungo FC. Mabao ya Namungo FC yalipachikwa na…

Read More

BOSI SIMBA ATUPA KOMBORA YANGA SC

MARA baada ya kuondolewa na Al Ahly ya nchini Misri katika michuano ya African Football League (AFL), Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kuwa sasa hivi akili zao wanazielekeza katika Ligi Kuu Bara na kikubwa kurejea kileleni. Kauli hiyo huenda ikawa kijembe kwa wapinzani wao, Yanga ambao wanaongoza ligi wakiwa na…

Read More

STRAIKA WA MABAO HANA FURAHA SIMBA

HABARI mbaya kwa mashabiki wa Simba zinadai kuwa mshambuliaji wao raia wa Zambia, Moses Phiri hana furaha ndani ya timu hiyo na huenda akaondoka kikosini hapo kama mambo yataendelea kuwa magumu kwake. Phiri ndani ya Simba amekuwa na wakati mgumu kutokana na kushindwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Msimu…

Read More

YANGA WAKOMBA POINTI ZA SINGIDA FOUNTAIN GATE

YANGA imekomba pointi tatu mazima mbele ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo wa ligi uliokuwa na ushindani mkubwa hasa kipindi cha pili. Ni mchezo wa ligi ikiwa ni mzunguko wa 7 kwa msimu wa 2023/24. Chuma cha kwanza ilikuwa dakika ya 30 na kile cha pili dakika ya 38 yalidumu mpaka mwisho wa mchezo huo….

Read More

JESHI LA YANGA HILI HAPA DHIDI YA SINGIDA FOUNTAIN GATE

MBELE ya Singida Fountain Gate  kikosi cha Yanga chini ya Miguel Gamondi langoni ameanza Dijgui Diarra, Mabeki ni Yao, Lomalisa, Mwamnyeto huyu ni nahodha, Job Viungo ni Zawad Mauya, Maxi Nzengeli, Mudhathir Yahya, Aziz Ki na Zouzoua, Mshambuliaji ni Konkoni Akiba yupo Mshery, Kibabage, Bacca, Mkude, Sure Boy, Moloko, Makudubela, Musonda na Mzize

Read More

UNA HELA? WIKIENDI IPO BIZE KINOMANOMA

UKIWA unajua wapi unakwenda ni rahisi kufika hata ukikutana na vikwazo vingi, lakini swali la msingi kujiuliza una hela? Ijumaa ipo bize utatokaje sasa nje ama ndani? Kwenye ulimwengu wa mpira, kuna mechi kali zinatarajiwa kuchezwa leo katika msako wa pointi tatu muhimu. Hapa tunakuletea namna msako wao utakavyokuwa:- Yanga v Singida Fountain Gate Ngoma…

Read More

KIVUMBI TUPU TATU BORA UFUNGAJI

KIVUMBI tupu ndani ya tatu bora ya ufungaji kutokana na mastaa waliopo hapo kuwa na rekodi zao zinazovutia namna wanavyofunga na kukamilisha majukumu yao. Ni Aziz KI wa Yanga huyu ni namba moja kwenye utupiaji akiwa na mabao sita, Jean Baleke yupo zake ndani ya Simba mabao matano na Feisal Salum, (Fei Toto) yupo Azam…

Read More