SIMBA: TUTADHIHIRISHA UKUBWA WETU MBELE YA YANGA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utadhihirisha ukubwa wao kwa kupata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ni Kariakoo Dabi inayotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya dakika 90 kwa timu zote kuwania kupata pointi tatu muhimu. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally…

Read More

MUHIMU KUWA NA MAANDALIZI BORA KILA WAKATI

MWENDELZO mzuri unahitajika kwa wachezaji wote katika mechi ambazo wanacheza. Hali bado haijawa nzuri kwa baadhi ya wachezaji kufikiria mpira ni matumizi ya nguvu kubwa mwanzo mwisho. Ipo wazi kuwa mpira wa mchezo huwezi kuacha kutumia nguvu lakini ni muhimu kuwa makini. Kwenye msako wa pointi tatu ila ni muhimu kuwa makini katika kutimiza majukumu….

Read More

HAPA NDIPO TATIZO LA SIMBA LILIPO

NI umakini kwenye safu ya kiungo, ulinzi na mlinda mlango wa Simba hawa ni tatizo ndani ya mechi tano mfululizo ambapo iliruhusu jumla ya mabao sita huku ile ya ushambuliaji ikitupia mabao 9. Ndani ya dakika 450 ukuta wa Simba unatunguliwa bao moja kila baada ya dakika 75 huku safu ya ushambuliaji ikiwa na hatari…

Read More

BARCELONA YAPASUKA EL CLASICO

MCHEZO wa El Clasico, Barcelona wameshuhudia wakipoteza pointi tatu mazima ndani ya Uwanja wa Camp Nou. Ulikuwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania, (La Liga) uliokuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Barcelona 1-2 Real Madrid ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa miamba hawa wa Hispania kukutana…

Read More

SIMBA YAMCHAPA MBABE WA MTANI

POINTI tatu Simba wamezikomba mbele ya mbabe wa mtani wao wa jadi, Yanga kwa msimu wa 2023/24  ambaye ni Ihefu. Ni mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 28 2023 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 2-1 Ihefu. Mabao ya Simba yalifungwa na Jean Baleke dakika ya 13 likawekwa usawa na Ismail Mgunda…

Read More

CIRCUS FEVER DELUXE SLOTI YA UTAJIRI

Sloti ya Circus Fever Deluxe Kuna michezo mingi inafurahisha na mingine unapoicheza inakuingizia hela, kwenye miaka ya nyuma Sanaa ya maonyesho majukwaani ilikuwa inafanya vizuri sana, Kasino ya mtandaoni Meridianbet inataka kukurudisha nyuma mpaka miaka ya 2000s kupitia sloti ya Circus Fever Deluxe. Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna…

Read More