JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika. Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:- Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma,…

Read More

JESHI LA YANGA DHIDI YA SIMBA LIPO HIVI

KARIAKOO Dabi presha yake ipo juu kwa sasa huku kila timu ikiwa na hesabu za kukomba pointi tatu. Miguel Gamond, Kocha Mkuu wa Yanga jeshi lake ambalo amelipa kuanza dhidi ya watani zao wa jadi Simba lipo namna hii:- Djigui Diarra Yao Attouhula Joyce Lomalisa Bacca Khalid Aucho Maxi Nzengeli Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Aziz…

Read More

JUMAPILI HII MIKWANJA UPO KAMA KAWA KWA MECHI ZA ULAYA

Najua unajua lakini nakujuza tena  sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika michezo ambayo itapigwa jumapili ili kukuwezesha kupiga mkwanja wa kutosha. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti ya Meridianbet na kuchagua timu zako Jumapili ya leo na kuweka dau lako ambalo linaanzia shilingi 100 na zaidi ili uweze kujipigia…

Read More

NYOTA HAWA WAMEWAKA KWA MKAPA

MASTAA sita kutoka Simba na Yanga nyota zao zimeonekana kuwaka kutokana na kuwa na zali katika kuhusika kwenye ushindi wa timu zao ndani ya dakika 90. Mechi mbili tofauti za watani wa jadi walizotumia Uwanja wa Mkapa walikomba pointi tatu wote kwa nyakati zao. Ni Yanga 2-0 Singida Fountain Gate ngoma ilipigwa Oktoba 27,  Simba…

Read More

SIMBA KUIMULIA YANGA VINGINE

WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Oliveira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa michezo yao miwili ya AFL, dhidi ya Al Ahly kujiandaa na uzito wa mchezo wa kesho. Simba wanaingia katika mchezo huu wakiwa wamecheza mchezo mmoja tu wa Ligi Kuu Bara…

Read More

WILD ICY FRUITS SLOTI RAHISI KUSHINDA

Sloti ya Wild Icy Fruits Kitu kinachonifanya niichague Meridianbet ni odds kubwa, machaguo mengi,bonasi kibao, ofa, promosheni na kubwa Zaidi michezo ya kasino ya mtandaoni na sloti rahisi kushinda, kama vile Sloti ya Wild Icy Fruits yenye mistari 40 ya malipo yaani kiufupi ina njia nyingi sana zinazorahisisha mchezaji kushinda. Matikiti na machungwa yanaongeza utamu…

Read More

ROBERTINHO AIMALIZA YANGA KIKUBWA

WAKIJIANDAA na mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Kocha Mkuu wa Simba, Robert Olivieira ‘Robertinho’ amechimba mkwara mzito kuwa wametumia uzito wa michezo yao miwili ya AFL, dhidi ya Al Ahly kujiandaa na uzito wa mchezo wa Jumapili huku akitenga siku tano sawa na saa 120 kujiandaa na mchezo huo. Kikosi cha…

Read More

YAO BABA LAO KUELEKEA KARIAKOO DABI

MWAMBA Yao Attohoula ni baba lao kuelekea Kariakoo Dabi kwa upande wa kutengeneza pasi za mabao kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ni Novemba 5 watani hao wa jadi wanatarajiwa kumenyana kwenye msako wa pointi tatu, Uwanja wa Mkapa. Katika nyota wenye pasi nyingi za mabao kwa watani hawa wa jadi, Yao ambaye ni beki…

Read More

ANZA VIZURI NOVEMBA YAKO NA MAOKOTO, WIKENDI YA USHINDI

Ndugu mteja mwezi Novemba tayari umeanza na leo hii mechi mbalimbali zitachezwa huku Meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea machaguo uyapendao. Unajua kuwa kuwa Milionea ni kitu rahisi kama ukituliza akili yako kwa kusuka jamvi na Meridianbet?. Timiza ndoto zako hapa wakati ndio huu. LALIGA kuna mechi moja ya pesa leo ambayo ni kati ya Las Palmas…

Read More

MATAJIRI 8 WAITANA YANGA FASTA

YANGA wanaonekana kuutaka mchezo wa Kariakoo Dabi, ni baada ya Kamati ya Mashindano ya timu hiyo, yenye watu nane imepanga kukutana leo Jumatano kwa ajili ya kuweka mikakati ya ushindi kuelekea mchezo huo. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu hizo kongwe za Simba dhidi ya Yanga ambayo itapigwa Jumapili hii saa 11 jioni kwenye Uwanja wa…

Read More

YANGA NA SIMBA ZAKOMBA TUZO

WAKATI ikiwa ni presha ya kuelekea Kariakoo Dabi inayotarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 5 2023 Yanga na Simba zimesepa na tuzo. Ni tuzo ya mchezaji bora ambayo imekwenda Yanga kwa nyota Aziz KI akiwashinda wachezaji wenzake alioingia nao fainali ikiwa ni Maxi Nzengeli wa Yanga na Moses Phiri wa Simba. KI kwa Oktoba alikuwa…

Read More

KUNA MAISHA BAADA YA DABI

MAISHA lazima yaendelee bila kujali jambo gani gumu ama jepesi litakutokea kwa wakati huo. Kikubwa kwa sasa kuelekea Kariakoo Dabi wachezaji kutambua kwamba kuna maisha baada ya mchezo huo. Muhimu kwa kila mmoja kutambua ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri. Kutimiza majukumu yake uwanjani kwa kucheza bila hofu. Haya yote yatawezekana ikiwa kila mmoja ataongeza…

Read More