SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI BALAA ZITO

NYAKATI ngumu hazidumu lakini zina maumivu makubwa kwa anayekutana nazo hivyo ni muhimu kutafuta njia nzuri ya kuepukana na hayo kwa umakini, hivyo tu basi. Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Simba wanapita kwenye nyakati za maumivu kwa wachezaji kushindwa kupata ushindi katika mechi tatu za Ligi ya Mabingwa Afrika zaidi ya kuambulia sare….

Read More

WAKATI WA KUWAJIBIKA NI SASA KWA KILA MMOJA

KILA mmoja afanye kazi yake kwa wakati kutimiza majukumu yake. Katika anga la kimataifa wachezaji wengi wanatambua namna ushindani ulivyo. Hakuna ambaye anapenda kuona matokeo mabaya yanatokea uwanjani. Kwa sasa wachezaji wanakazi kufanya kweli kwenye mechi za kimataifa. Ni ushindani mkubwa kwa kila mechi kufanya kweli. Ukweli ni kwamba kushinda ndani ya uwanja kunahitaji mbinu…

Read More

KAGERE NA KILICHO NYUMA YA MNAFIKI ISHI NAYE KINAFIKI

MSHAMBULIAJI wa Singida Fountain Gate Meddie Kagere amesema kuwa ujumbe wake aliouandika kwenye fulana baada ya kufunga kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ni aina ya ushangiliaji aliochagua. Novemba 27 Kagere alifunga bao lake la kwanza kwenye ligi na wakati wa kushangilia alionyesha fulana  iliyoandikwa, “Mnafiki ishi naye kinafiki,”. Akizungumza mara baada ya mchezo huo…

Read More

MAXI NZENGELI, AZIZ KI TAYARI KUWAVAA WAARABU

NYOTA wa Yanga ikiwa ni pamoja na Maxi Nzengeli, Pacome Zouzoah, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari wapo kamili kuwavaa Waarabu wa Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na kete ya kwanza wakiwa ugenini walipoteza dhidi ya Waarabu wa Algeria. Kwa sasa…

Read More

SIMBA YAYEYUSHA DAKIKA 450 BILA USHINDI

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa, Simba wameandika rekodi yao kwenye anga hilo kwa kukomba dakika 450 sawa na mechi tano bila kuambulia ushindi. Kwenye mechi hizo, mbili ilikuwa ni African Football League, (AFL) na tatu Ligi ya Mabingwa Afrika. Katika mechi tano, tatu wamecheza nyumbani na mbili ugenini. Katika mechi za AFL, ilikuwa…

Read More

SIMBA NI MWENDO WA FULL PACKAGE

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umechukua muziki kamili wa benchi la ufundi ambalo litakuwa na kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo Ipo wazi kuwa Novemba 5 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga mambo yalibadilika kwenye benchi la ufundi, Roberto Oliveira aliyekuwa kocha mkuu alisitishiwa mkataba wake Novemba 7….

Read More

KUSANYA MPUNGA WA MAANA NA MECHI ZA UEFA LEO

Kama kijana najua una ndoto nyingi za mafanikio kulingana na hali ya uchumu ilivyo sasa nchini. Basi Meridianbet wanakuambia hivi ukibashiri na wao kutimiza ndoto zako ni rahisi sana kwani huku wamekuwekea kila ambacho unakitaka wewe. Bashiri sasa mechi za UEFA hapa. Hebu tuanze pale katika jiji la Italia ambapo Lazio Rome atakuwa mwenyeji wa…

Read More

KOCHA BENCHIKHA – ”SITOANGALIA MAJINA YA WACHEZAJI, NITAANGALIA PAFOMANSI”..

Klabu ya Simba imefanya mkutano na waandishi wa habari kwa ajili ya kujibu maswali tofautitofauti baada ya kumtangaza Kocha wao mpya Abelhak Benchikha. Moja ya mambo yaliyoongelewa na Benchikha ni kwamba yeye hatoangalia jina la mchezaji bali ataangalia uwezo wa kila mchezaji uwanjani ili ajue kikosi alichonacho. Zaidi sana Benchikha amesema anataka ushirikiano kutoka kwa…

Read More