
SIMBA 2-1 SINGIDA BIG STARS
VIUNGO wameamua kuonyesha makeke yao ndani ya Uwanja wa Mkapa ambapo ubao unasoma Simba 2-1 Singida Big Stars ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kiungo Clatous Chama amefikisha jumla ya pasi 14 akitoa ile ya kwanza kwa Jean Baleke dakika ya 8 na ile ya pili dakika ya 20 kwa Saidi Ntibanzokiza. Bonge moja…