
MAYELE AFICHUA MAGUMU YA CAF,PHIRI ATOA AHADI NZITO
MAYELE afichua magumu ya CAF, Phiri atoa ahadi nzito CAF ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
MAYELE afichua magumu ya CAF, Phiri atoa ahadi nzito CAF ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa ushindi ambao waliupata dhidi ya TP Mazembe Uwanja wa Mkapaule ulikuwa ni kionjo. Kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi Yanga ilishinda mabao 3-1 huku watupiaji wakiwa ni Kennedy Musonda, Mudhathir Yahya na Tuisila Kisinda. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa propaganda ambazo zinasemwa kuhusu…
NI Machi Mosi 2023 ikiwa ni ukurasa mwingine ambao unaanza kufunguliwa kwa sasa. Yanga wao wana kazi kwenye anga la kitaifa na kimataifa na wana vigongo vya kucheza kusaka ushindi. Hivi hapa vigongo vya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ndani ya Machi zipo namna hii:- Yanga v Prisons Machi 3 huu ni mchezo…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wakiwa hatua ya makundi wana kazi kubwamwezi huu mpya. Hivi hapa vigongo vya Simba ndani ya Machi kwenye mechi za mashindano kitaifa na kimataifa namna hii:- Machi 2, Uwanja wa Uhuru ni Simba v African Sports mchezo wa hatua ya 16 bora…
RAIS Yanga amefungukia ishu ya nyota wa timu hiyo Fiston Mayele kuingia kwenye hesabu za kuuzwa
NYOTA wa Yanga Fiston Mayele ameweka waz kuwa watapambana kufanya vizuri kwenye mechi zijazo za kimataifa ili kufikia malengo yao. Timu hiyo Jumanne Februari 28 ilirejea Bongo ikitokea Mali ilipokuwa na mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Real Bamako 1-1 Yanga na kuwafanya wagawane pointi…
HIZI hapa hesabu za Simba kimataifani kwa mechi ambazo watacheza Uwanja wa Mkapa
MBARAZIL alianzisha kambini Simba, Yanga tunawapiga mvua ya mabao ndani ya Championi Jumatano
MACHI 2 2023 kikosi cha Simba kina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya African Sports. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Uhuru kwa kuwa Uwanja wa Mkapa unafanyiwa maboresha na utatumika kwa mechi za kimataifa. Simba inaingia kwenye mchezo huo ikiwa inakumbuka kwamba ilitinga hatua hiyo kwa ushindi wa…
MSAFARA wa Yanga umewasili leo Dar ukitokea Mali ulipokuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao ni wa hatua ya makundi. Katika mchezo huo Yanga iligawana pointi mojamoja kwa ubao kusoma Real Bamako 1-1 Yanga baada ya dakika 90. Ni Fiston Mayele alipachika bao kwa upande wa Yanga kwenye mchezo huo…
Meridianbet wamejaribu kugusa maisha ya watu kwa mara nyingine kama ambavyo wamekua wakifanya wakati huu Meridianbet wamefanikiwa kufika Parasport Club iliyopo wilaya ya Temeke kwajili ya kutoa msaada wa vifaa vya michezo klabuni hapo. Parasports Club ni timu ya mpira wa miguu ya watu wenye ulemavu ambayo inatambulika rasmi na Meridianbet Tanzania waliona moja ya…
IKIWA Uwanja wa Liti, Singida kwa wakulima Alizeti Mtibwa Sugar iliacha pointi zote tatu mazima. Kwenye mchezo huo uliochezwa Februari 27,2023 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti ulisoma Singida Big Stars 2-0 Mtibwa Sugar Ni Rodrigo alianza kuwatungua Mtibwa Sugar wenye Duchu ilikuwa dakika ya 12 kisha mwamba kabisa Meddie Kagere huyu…
CHINI ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery kikosi cha KMC kimepita kwenye dakika 630 za mateso kwa kukwama kusepana pointi tatu zaidi ya katika mechi 7 mfululizo. Mechi moja pekee KMC iliambulia pointi moja kwenye sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar huku mechi tano wakiambulia kichapo mazima. Kwenye msako wa pointi 21 ni…
KWA mara nyingine tena Salim Abdallah Muhene wengi wanapenda kumuita Try Again atasalia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba. Februari 27, Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji amemteua tena Salim Try Again kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Mo amesema ana imani na Mwenyekiti Muhene kuwa ataiongoza Simba kufikia…
MSAFARA wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Februari 28 unatarajiwa kuwasili Dar. Wawakilishi hao wa kimataifa kwenye anga la Kombe la Shirikisho walikuwa na mchezo wa hatua ya makundi dhidi ya Real Bamao uliochezwa Mali. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Real Bamako 1-1 Yanga na kuwafanya wagawane pointi mojamoja kwenye…
SIMBA yaandaa nondo mpya, mikakati ya Yanga CAF tishio ndani ya Spoti Xtra Jumanne