
KIUNGO SIMBA AWATAKA RAJA CASABLANCA
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mmalawi Peter Banda amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa amepona na yupo fiti kucheza mchezo wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba itavaana dhidi ya Raja Casablanca saa 7:00 usiku wa kuamkia Jumamosi huko nchini Morocco katika mchezo wa marudiano unaotarajiwa kujaa upinzani…