
CHELSEA WANALIPA MSHAHARA MKUBWA ILA TABU TUPU
CHELSEA wanapita kwenye kipindi kigumu huku wakiwa wanalipa mshahara mkubwa wachezaji wao. Hadi sasa wameondolewa kwenye mashindano yote mawili ya vikombe vya nyumbani. WANALIPA MISHAHARA MIKUBWA Chelsea ndio klabu ya pili kwa Premier League ambayo inalipa mishahara mikubwa kwa mwaka, wakitanguliwa na Manchester United. Kwa mujibu wa mtandao ambao unahusika na mishahara ya klabu za…