
MAYELE MTU WA KAZIKAZI, KAMBEBA SALIM
FISTON Mayele moja ya washambuliaji wenye akili na wanalijua lango dhidi ya Simba Aprili 16 anashikilia rekodi ya kupiga mashuti mengi yaliyolenga lango. Ni ubora wake kwenye kutafuta kufunga kumemfanya kipa wa Simba aonekane ni bora kutokana na kuwa makini kwenye kuokoa hatari hizo. Ingekuwa angekwama kuokoa hatari alizopigiwa na Mayele ingekuwa ni habari nyingine…