CHAMPIONSHIP KINAPIGIKA LEO NA MKWANJA NI WAKUTOSHA

Ligi daraja la pili nchini Uingereza maarufu kama Championship itaendelea ijumaa ya leo na michezo mbalimbali itakwenda kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, Huku mteja wa Meridianbet ukiwa na nafasi ya kujipigia mkwanja wako wa kutosha. Kuhakikisha kua kipindi hichi cha sikukuu wateja wa Meridianbet hawakai kinyonge mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakimwaga Odds…

Read More

SIMBA KUSHUSHA MKATA UMEME WA KAZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kwenye mpango wa usajili utaongeza mkata umeme wa kazi mithili ya Fabrince Ngoma ili kuongeza uimara kwenye timu hiyo. Ipo wazi kwamba Simba kwa msimu wa 2023/24 haijawa bora kwenye eneo la ulinzi na ushambuliaji huku eneo la ukabaji ikiwa na wachezaji wa kazi kama Fabrince Ngoma, Sadio Kanoute na…

Read More

YANGA YAJIVUNIA JEMBE HILI LA KAZI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa una kila sababu za kujivunia uwepo wa wachezaji wao wote wanaofanya kazi kwa ushirikiano ikiwa ni pamoja na kiungo Aziz KI. Ikumbukwe kwamba Aziz KI ni namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa na mabao 10 kibindoni sawa na namba ya jezi yake pendwa mgongoni akiwa uwanjani kutimiza…

Read More

MABEKI SIMBA KWENYE MTEGO HUKO

MABEKI wa Simba chini ya kiongozi wao Henock Inonga, Che Malone , Kenedy Juma wameingia kwenye mtengo kwa kuambiwa kwamba wanapaswa kutimiza majukumu yao na kuzuia kufungwa mabao. Timu hiyo kwenye mchezo wa mwisho kwa 2023 dhidi ya KMC ilikwama kukomba pointi tatu na kugawana mojamoja dhidi ya KMC kutokana na kufungwa bao la jioni…

Read More

ORODHA YA MAKOCHA WALIOKUTANA NA THANK YOU

NDANI ya Ligi Kuu Bara kuna makocha ambao waliomba kuondoka kwenye timu zao kwa kuandika barua na wengine walikutana na Thank You kutokana na kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na timu ambazo walikuwa wakizifundisha kisha maisha yakaendelea. Ni msimu wa 2023/24 ambao umekuwa na matukio mengi yanayoendelea hapa tunakuletea baadhi ya makocha ambao walikutana na…

Read More

GAMONDI AWAPA MALEKEZO MAPYA NYOTA WAKE

MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuongeza juhudi kwenye mechi ambazo wanacheza ili kupata matokeo. Timu hiyo kwenye msimamo ni namba mbili na funga 2023 ilikuwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma baada ya dakika 90 ubao ulisoma Tabora United 0-1 Yanga na bao likifungwa na Aziz KI. Aziz KI anafikisha…

Read More