JKT TANZANIA SIO KINYONGE KUFANYA KWELI
BENCHI la ufundi la JKT Tanzania limeweka wazi kuwa palipo na mapungufu watafanyia maboresho kwenye usajili katika dirisha dogo ili kuwa imara zaidi. Desemba 18 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma JKT Tanzania 0-1 Coastal Union walipoyeyusha pointi tatu wakiwa nyumbani. Kocha Mkuu wa JKT Tanzania, Malale Hamsini amesema kuwa ushindani kwenye ligi ni…