SINGIDA FOUNTAIN GATE: USHINDANI NI MKUBWA
KOCHA msaidizi wa Singida Fountain Gate Thabo Senong ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya ligi ni mkubwa kutokana na kila timu kuhitaji ushindi ndani ya uwanja. Timu hiyo baada ya kucheza mechi 14 kibindoni ina pointi 20 huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imetupia jumla ya mabao 17. Desemba 21 ilikuwa siku mbaya kazini kwa…