ALIYEWAVURUGA WAARABU KWA MKAPA ATOA TAMKO ZITO

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Pacome aliyewavuruga namna anavyopenda Waarabu Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ameweka wazi kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mechi zinazofuata Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Yanga iligawana pointi moja kwenye mchezo wa kwanza wakiwa nyumbani hatua ya makundi kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya Waarabu wa…

Read More

SIMBA WAWAFUATA WAARABU MOROCCO

WAWAKILISHI  wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Simba Desemba 5 2023 imeenza safari yakuelekea Morocco. Safari hiyo ni maalumu kwa ajili ya kuikabili timu ya Wydad Casablanca mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba mchezo uliopita kwa Simba wakiwa ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy walishuhudia ubao ukisoma Jwaneng Galaxy 0-0 Simba….

Read More

FOUNTAIN GATE PRINCESS KUSHIRIKI NGAO YA JAMII

UONGOZI wa Fountain Gate Princess umeweka wazi kuwa wamepata fursa nyingine kwa tmu hiyo kushiriki kwenye Ngao ya Jamii kwa Wanawake. Taarifa iliyotolewa imeeleza namna hii:”Tunapenda kuwafahamisha rasmi kuwa Timu yetu ya Wanawake Fountain Gate Princess inatarajia kushiriki Ngao ya Jamii Kwa Wanawake ambayo ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi ya Wanawake…

Read More

YANGA YAWAFUATA WAPINZANI WAO KIMATAIFA

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, Desemba 5 alfajiri kimeanza safari kuelekea Ghana kwa ajili ya kupambania kupata pointi tatu muhimu. Baada ya kucheza mechi mbili ambazo ni dakika 180 imekusanya pointi moja pekee. Yanga inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ina kibarua cha kusaka…

Read More

HUZUNI INATOSHA KIMATAIFA, KICHEKO KIPATIKANE

HUZUNI kwa mashabiki kushindwa kupata kicheko kwenye mechi za kimataifa inapaswa kuondolewa na wachezaji uwanjani. Hali haijawa nzuri kwenye mechi za kimataifa ambapo ni timu mbili kutoka ardhi ya Tanzania zinafanya kazi yake. Yanga na Simba katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kila timu ikiwa imecheza mechi mbili hakuna iliyoambulia ushindi jambo linaloongoza…

Read More

WAARABU WAMPA TUZO PACOME BONGO

LICHA ya kuambulia pointi moja kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa bado Yanga hawakumaliza mechi hiyo kinyonge. Kwenye mchezo huo uliochezwa Desemba 2 na ubao ukasoma Yanga 1-1 Al Ahly ya Misri bao alilofunga nyota wa Yanga limebeba tuzo ya bao bora la wiki. Ni Pacome Zouzoua alipachika bao la…

Read More