>

TWIGA STARS KAZINI, OPPAH KAWAKA

TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars ipo kazini inapambania nembo ya taifa kwa kupata ushindi katika viunga vya Azam Complex  kwenye mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya kuwania Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Wafcon) 2024. Ni dhidi ya Togo kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar ambapo wameanza…

Read More

BADO MANCHESTER UTD INA NAFASI YA KUFUZU 16 BORA

Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3 dhidi ya Galatasaray ugenini. Man United walikwenda kwenye mchezo wakiwa na matumaini ya kupata pointi tatu na walianza vizuri wakiongoza 2-0 baada ya dakika 18 tu. Fernandes alitoa pasi ya ufunguzi kwa Rasmus…

Read More

WAARABU WA YANGA WAPIGIWA HESABU KWA MKAPA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AlAhly, Waarabu wa Misri. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inapeperusha bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba ilitinga hatua hiyo kwa kuwafungashia virago Al…

Read More

SIMBA NA YANGA KIMATAIFA NI BALAA ZITO

NYAKATI ngumu hazidumu lakini zina maumivu makubwa kwa anayekutana nazo hivyo ni muhimu kutafuta njia nzuri ya kuepukana na hayo kwa umakini, hivyo tu basi. Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Simba wanapita kwenye nyakati za maumivu kwa wachezaji kushindwa kupata ushindi katika mechi tatu za Ligi ya Mabingwa Afrika zaidi ya kuambulia sare….

Read More

WAKATI WA KUWAJIBIKA NI SASA KWA KILA MMOJA

KILA mmoja afanye kazi yake kwa wakati kutimiza majukumu yake. Katika anga la kimataifa wachezaji wengi wanatambua namna ushindani ulivyo. Hakuna ambaye anapenda kuona matokeo mabaya yanatokea uwanjani. Kwa sasa wachezaji wanakazi kufanya kweli kwenye mechi za kimataifa. Ni ushindani mkubwa kwa kila mechi kufanya kweli. Ukweli ni kwamba kushinda ndani ya uwanja kunahitaji mbinu…

Read More