SIMBA WASIKITIKIA MATOKEO YAO KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa matokeo ambayo wameyapata kwenye mchezo dhidi ya ASEC Mimosas sio mazuri kwa upande wao kwa namna yoyote. Novemba 25 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Kwenye msako wa pointi tatu Simba ilikomba moja ikiwa nyumbani na kupoteza pointi…

Read More

UKUTA WA SIMBA KUSUKWA UPYA

WAKIWA kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy benchi la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa kila idara makosa yake yanafanyiwa kazi. Miongoni mwa sekta ambazo zinafanyiwa kazi ni pamoja na ile ya ukuta chini ya Che Malone, Kennedy Juma, Shomary Kapombe na Mohamed Hussein unasukwa upya kuwa na…

Read More

KAZI BADO IPO KWA MASTAA HAWA YANGA NA SIMBA KIMATAIFA

KUNA mambo mengine ni magumu kuyafanya sio kama sikukuu ya kumbukizi ya kuletwa duniani, ukiwa na keki inafanyika. Haina maana haiwezekani inawezekana kwa kuamua kufanya kweli, hivyo tu basi. Mastaa wa Yanga na Simba kwenye mechi za ligi ya ndani wamekuwa wakifanya kweli, anga la kimataifa ushindani unakuwa tofauti hivyo ni lazima waamue kufanya kweli…

Read More