MANULA KUIKOSA ASEC MIMOSAS CHAMA HATIHATI
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao ASEC Mimosas kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watakosa huduma ya nyota wao wawili. Kwa mujibu wa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Daniel Cadena ameweka wazi kuwa maandalizi yapo vizuri isipokuwa kuna baadhi ya wachezaji ambao wanaweza kukosekana kwenye mchezo huo. Ni Uwanja wa Mkapa,…