
Gerard Pique na Wengine 9 Sajili Zilizoshindwa kuonesha Maajabu Man Utd
Manchester United hawajashinda kombe la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) tangu mwaka 2013 lakini bado ni timu yenye mafanikio zaidi tangu ligi hiyo ilipoanzishwa upya mwaka 1992. United wameshinda mataji 13 ya ligi chini ya Sir Alex Ferguson, ikiwa ni pamoja na matatu mfululizo kati ya 2006 na 2008. Kuwa gwiji wa mafanikio kama Sir…