MERIDIANBET KUTAMBULISHA MICHEZO MIPYA YA KASINO MTANDAONI

Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse studio wanakuja na vitu vipya, michezo mipya ya kasino mtandaoni itakayozinduliwa kwenye maonyesho ya SiGMA World Europe.   Baada ya kuonyesha mafanikio yao huko G2E Las Vegas, Expanse sasa inatarajia kuonyesha bidhaa zao mpya huko Malta kuanzia tarehe 13 hadi 17 Novemba kwenye banda namba 1030.  Wachezaji wa Meridianbet na…

Read More

NYOTA STARS WAAHIDI KUPAMBANA KIMATAIFA

NYOTA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wameweka wazi kuwa watapambana kupata matokeo kwenye mchezo wao dhidi ya Niger ambao ni wa kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Novemba 18 katika Mji wa Marrakech siku ya Jumamosi. Miongoni mwa wachezaji waliopo kwenye msafara huo ni Simon Msuva, Novatus Dismas, Peter Banda,…

Read More

MIKATABA YA WACHEZAJI IHESHIMIWE KUPISHANA NA KESI

KESI nyingi ambazo zinawasumbua mabosi wengi wa timu ndani ya ardhi ya Tanzania ni kuhusu malipo. Mikataba ya wachezaji inakwenda kirafiki na hakuna ambaye anajali. Hili ni janga kubwa ambapo kila siku kumekuwa na kesi zinazowahusu wachezaji kufungua kesi kuhusu malipo yao. Haina maana kwamba waajiri hawatambui umuhimu wa kuwalipa hapana wanaamua kufanya makusudi. Mwisho…

Read More

KOCHA MBABE WA YANGA ATAJWA SIMBA

ABDELHAK Benchikha aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa USM Alger anatajwa kuwa katika hesabu za kupewa mikoba ya Robert Oliveira. Baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa Novemba 5 2023 kusoma Simba 1-5 Yanga, Novemba 8 Simba ilitangaza kupeana mkono wa asante na Oliveira. Taarifa zimeeleza kuwa upo uwezekano koçha huyo aliyetwaa ubingwa wa Kombe la…

Read More