COASTAL UNION WAPOTEZA POINT MBELE YA YANGA
CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga amefunga bao lake la kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Bao hilo ni muhimu kwa Yanga kwa kuwa wamekomba pointi tatu mazima ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani umesoma Coastal Union 0-1 Yanga. Bao hilo limejazwa kimiani dakika ya 70 kwenye mchezo huo…