PESA ZINAMIMINIKA LEOUSIKU MECHI ZA UEFA, PIGA MKWANJA

Habari mteja wetu pendwa wa Meridianbet, kama kawaida leo hii usiku wa Ulaya unaendelea huku Meridianbet wakiwa tayari wamekuwekea mechi za kupiga mkwanja pamoja na ODDS za kibabe hapo. Unachotakiwa kufanya ni kuingia Meridianbet haraka na kuanza kubashiri. Kaatika dimba la San Siro ambapo AC Milan atakuwa mwenyeji wa PSG. Milan yupo nafasi ya mwisho…

Read More

MKANDAJI KAKANDWA KARIAKOO DABI NYUMBANI

ASIYEKUBALI kushindwa si mshindani wanasema hivyo. Ilikuwa ni jasho la kazi kwa wanaume 22 kusaka ushindi Uwanja wa Mkapa na mwisho ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Wakandaji Simba wakiwa nyumbani walikandwa na wapinzani wao Yanga kwenye msako wa pointi tatu muhimu.Hapa  tunakuletea namna kazi ilivyokuwa namna hii:- Aishi Manula Mchezo wake wa kwanza ndani ya…

Read More

OGOPA MAPAPELI SALAH HAUZWI

JURGEN Klopp amesema kuwa Liverpool bado hawajapokea ofa kutoka Saudi Arabia kwa ajili ya Mohamed Salah, huku akisisitiza kuwa staa huyo ambaye amejitolea kwa 100% klabuni hapo hauzwi. Salah, 31, anawavutia mabingwa wa Saudi Pro League, Al Ittihad, ambao wanaripotiwa kuandaa dau la pauni milioni 100 ili kumng’oa Anfield majira haya ya joto. Hata hivyo…

Read More

BREAKING: MR OBJECTIVE SIMBA AFUNGASHIWA VIRAGO

RASMI Roberto Oliviera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba amefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na timu hiyo pamoja na kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Timu hiyo itakuwa chini ya Daniel Cadena akishirikiana na Seleman Matola. Mchezo wa mwisho kukaa benchi kwa kocha huyo ilikuwa ni Novemba 52023 Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma…

Read More

MAPUNGUFU YA SIMBA V YANGA YAFANYIWE KAZI

KILA mmoja ameona mapungufu amabyo yalikuwa kwenye timu zao katika mchezo wa Kariakoo Dabi. Simba na Yanga walikuwa na kazi kuonyeshana ubabe wao. Mwisho mshindi alipatikana na yule ambaye alipoteza alifahamika.Weka kando masuala ya matokeo bado kuna mapungufu ambayo yalionekana kwenye mchezo huo. Kuanzia kwa wachezaji namna walivyokuwa wakitimiza majukumu yao. Kufanya kosa moja kwenye…

Read More