Skip to content
KARIAKOO Dabi presha yake ipo juu kwa sasa huku kila timu ikiwa na hesabu za kukomba pointi tatu.
Miguel Gamond, Kocha Mkuu wa Yanga jeshi lake ambalo amelipa kuanza dhidi ya watani zao wa jadi Simba lipo namna hii:-
Djigui Diarra
Yao Attouhula
Joyce Lomalisa
Bacca
Khalid Aucho
Maxi Nzengeli
Mudhathir Yahya
Kennedy Musonda
Aziz Ki
Zouzoua