NIDHAMU NGUZO KUBWA KWA MAFANIKIO
KAZI ni kubwa kwa timu zote kuendelea kufanyia maboresho pale penye upungufu kupitia mechi zilizopita. Tumeona namna ligi ilivyo na ushindani hii ni kubwa na inaonyesha thamani ya ligi yetu ya ndani. Jambo la msingi ni kuona kunakuwa na mwendelezo mzuri kwa mechi zinazofuata. Ushindani ambao uliopita kwenye mechi za mwanzo kabla ya ligi kusimama…