DAKIKA ZA MOTO KWA MBRAZIL WA SINGINDA FOUNTAIN GATE
KOCHA mpya wa Singida Fountain Gate, Ricardo Ferreira kutoka Brazil ana kete nne ngumu kusaka pointi 12 kwenye mechi zake za mwanzo ndani ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba kocha huyo anakuja kuchukua mikoba ya Ernst Middendorp aliyekiongoza kikosi hicho kwenye mchezo mmoja dhidi ya Future uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 18. Katika mechi hizo nne…