NYOTA HAWA WATATU SIMBA KWENYE VITA YAO
WACHEZAJI watatu wanawania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi cha Simba kwa Septemba, 2023 ikiwa ni vita yao nyingine kumpata mbabe wao. Ndani ya Septemba timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ilifungua pazia la ligi kwa kupata pointi tatu muhimu. Ilikuwa ni kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Manungu, Morogoro na ubao ukasoma…