HII HAPA ORODHA YA WAJUMBE WA BARAZA LA USHAURI SIMBA
AMEANDIKA Mohammed Dewji, (Mo) Rais wa heshima wa Simba:- Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali. Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika kipindi hiki cha miaka mitano lakini malengo yetu bado hatujayafikia. Mojawapo ya majukumu yangu kama Raisi wa…