YANGA WAKOMBA POINTI ZA SINGIDA FOUNTAIN GATE
YANGA imekomba pointi tatu mazima mbele ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo wa ligi uliokuwa na ushindani mkubwa hasa kipindi cha pili. Ni mchezo wa ligi ikiwa ni mzunguko wa 7 kwa msimu wa 2023/24. Chuma cha kwanza ilikuwa dakika ya 30 na kile cha pili dakika ya 38 yalidumu mpaka mwisho wa mchezo huo….