HASSAN MWAKINYO AKUTANA NA RUNGU ZITO
ADHABU ya kifungo cha mwaka mmoja ipo juu ya Hassan Mwakinyo, ambaye amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda huo. Mbali na kifungo hicho anapaswa kulipa faini ya shilingi milioni moja, kwa kosa la kugoma kupanda ulingoni katika Usiku wa Viwango, Septemba 29 2023. Uamuzi huo umefanywa na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) kupitia kamati…