PIRA PAPATUPATU LAKOMBA POINTI UGENINI
KUTOKANA na mashabiki wa Simba kueleza kuwa mpira unaochezwa kwa sasa chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mwendo wa papatupapatu, hivyo zimejibu na kupata ushindi ugenini. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Liti umesoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba. Bao la Saido Ntibanzokoza dakika ya 26 lilikuwa la mipango na bao la…