
PHIRI: TUNAFUNZU HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Moses Phiri ametamba kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajii ya mchezo wa marudiano dhidi ya Power Dynamos, huku akitamba kuwa Simba itaibuka na ushindi na kufuzu makundi ya mashindano hayo. Simba leo Jumapili watakuwa wenyeji wa Dynamos katika mchezo ambao unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar. Ni…