MTAMBO WA MABAO YANGA WATUMA SALAMU MSIMBAZI
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Maxi Nzengeli amesema kuwa wapo tayari kuelekea mchezo wao wa Karikoo Dabi dhidi ya Simba huku akiwaomba mashabiki wajitokeze kuona burudani. Ndani ya kikosi cha Yanga Nzengeli ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi akiwa kakomba dakika 489. Katupia mabao matano na pasi moja ya…