SIMBA YAWAPIGIA HESABU WAZAMBIA KIMATAIFA
KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema wameutumia mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliopigwa Alhamisi iliyopita kama sehemu ya kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Mbali na mchezo huo pia Simba ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan…