
BOSI SIMBA AMPA TUZO JEAN BALEKE
AKIWA na mabao matano kibindoni mshambuliaji wa Simba Jean Baleke amepewa kiatu cha ufungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Ni Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kwa namna mshambuliaji huyo alivyo na kasi ya kufunga kuna nafasi kubwa kwa nyota huyo kuwa mfungaji bora….