
SIMBA KUSEPA BONGO MAPEMA KUWAWAHI WAZAMBIA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamo ya Zambia uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa utaondoka mapema kuwawahi wapinzani wao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 16 ikiwa ni wa hatua ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu ya Simba inapeperusha bendera kwenye anga la kimataifa sawa na Yanga katika Ligi…