MAYELE MZEE WA KUTETEMA ‘THANK YOU’

MZEE wa kutetema Fiston Mayele hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga msimu mpya wa 2023/24 baada ya kupata changamoto mpya ndani ya kikosi cha Pyramids ya Misri. Hapa tunakuletea baadhi ya aliyofanya akiwa na uzi wa Yanga namna hii akikutana na Thank You:- Tuzo zake Ana tuzo ya ufungaji bora ndani ya ligi msimu wa…

Read More

NTIBANZOKIZA KWENYE REKODI YAKE BONGO

MSIMU wa 2022/23 Saido Ntibanzokiza alipachika mabao 17 ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni rekodi yake bora. Alitwaa tuzo ya kiungo bora msimu wa 2022/23, mfungaji bora licha ya kuwa ni kiungo mshambuliaji na jina lake lilijumuishwa kwenye kikosi bora cha msimu. Mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga naye alitupia mabao 17 na alitwaa tuzo…

Read More

SEKTA YA SKAUTI INAHITAJI MABORESHO BONGO

KWENYE upande wa usajili kumekuwa na sarakasi nyingi kwa timu za Bongo iwe kuanzia Ligi ya Wanawake, Championship mpaka Ligi Kuu Bara. Sio Simba, Yanga mpaka Geita Gold kumekuwa na sarakasi nyingi ambazo zinachezwa. Mpaka Namungo pia nao Singida Fountain Gate wanatambua namna ambavyo wamekuwa wakipambana kwenye upande wa masuala ya usajili hivyo ni muhimu…

Read More

SIMBA KUREJEA BONGO KUENDELEA NA KAZI

BAADA ya kikosi cha Simba kuweka kambi kwa muda Uturuki, Agosti Mosi safari ya kurejea Dar imeanza ili kuendelea na maandalizi ya mwisho kwa msimu wa 2023/24. Agosti 6 Simba itakuwa na tamasha la Simba Day lililotanguliwa na watani zao wa jadi Yanga kukamilisha Wiki ya Mwananchi. Agosti 2 ni Singida Big Day ambayo ni…

Read More

SIMBA YATEMBEZA MKWARA MZITO

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa msimu mpya wa 2023/24. Simba ilipashana na mataji msimu wa 2022/23 ambapo ni Yanga walitwaa mataji yote kuanzia Ngao ya Jamii, Kombe la Azam Sports Federation. Katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Yanga iliwatungua mabao 2-1 Simba kwenye…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE TAMBO KAMA ZOTE

KUELEKEA Singida Big Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 2, Uwanja wa Liti uongozi wa Singida Fountain Gate umetambia jambo lao kuwa litakuwa na upekee kwenye kila hatua. Ni burudani kwa mashabiki wa Singida Fountain Gate ambapo wanakwenda kutambulisha kikosi rasmi kwa msimu wa 2023/24 na benchi jipya la ufundi.  Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein…

Read More

JONAS MKUDE APIGWA MKWARA YANGA

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapiga mkwara mzito mastaa wote wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na kiungo Jonas Mkude aliyeibuka hapo akitokea ndani ya kikosi cha Simba. Habari zinaeleza kuwa Gamondi kwenye uwanja wa mazoezi yanayoendelea AVIC Town aliwaambia wachezaji wake kuwa wanapaswa kucheza kwa utulivu na kuepuka kucheza faulo ambazo hazina ulazima….

Read More