
GAMONDI ATUMA UJUMBE HUU JKT TANZANIA
LICHA ya kwamba mchezo wa mwisho kabla ya JKT Tanzania kushuka daraja na Yanga kukomba pointi tatu bado mabingwa hao watetezi wameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani hao. Kwenye mchezo wa mwisho kukutana na Yanga ubao ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga na mabao yalifungwa na Yacouba Songne na Tuisila Kisinda. Kesho Agosti 29 Yanga wanatarajiwa kumenyana…