NMB YADHAMINI MASHINDANO YA GOFU
BENKI ya NMB Tanzania imeweka wazi kuwa sababu kubwa ya kuendelea kuwa karibu na Watanzania wengi zaidi wameamua kuendeleza mpango wao wa kudhamini mashindano ya Gofu Tanzania. Taarifa kutoka NMB imeeleza kuwa kwa kutambua umuhimu wa michezo kwenye jamii, NMB inaendelea kuwa wadhamini wakuu wa mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi kwa mwaka 2023….