ANAYECHEKA MWISHO HUYO HUCHEKA ZAIDI
KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga kete yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara ilikuwa ni Agosti 23 Uwanja wa Azam Complex. Kwenye mchezo huo ilishuhudia ubao ukisoma Yanga 5-0 KMC ukiwa ni mchezo uliokusanya mabao mengi ndani ya dakika 90 kwenye mechi za ufunguzi msimu wa 2023/24. Yanga iliingia katika mchezo…