YANGA WAFANYA KWELI YAPIGA 5G

FUNGUO ya Yanga katika ushindi wa mabao 5-0 KMC ndani ya dakika 90 ilianzia kwa Aziz KI kiungo aliyecheza kwa umakini mkubwa. Yanga inewatungua mabao hayo ilikuwa dakika ya 16 kupitia kwa beki Dickson Job aliyetupia bao lake la Kwanza msimu wa 2013/24. Aziz KI wa Yanga alitupia bao moja dakika ya 59, Konkoni ilikuwa…

Read More

SIMBA WANA JAMBO LAO

BAADA ya kucheza mechi mbili Simba imekusanya pointi sita ikiwa inaongoza ligi. Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira katika mchezo wa kwanza ilitunguliwa mabao mawili dhidi ya Mtibwa Sugar licha ya kushinda. Baada ya dakika 90 kwenye mchezo huo ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Manungu ukisoma Mtiwa Sugar 2-4 Simba. Katika mchezo wa pili…

Read More

YANGA 1-0 KMC, LIGI KUU BARA

MCHEZO wa kwanza kwenye Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Yanga inaucheza leo Agosti 23 dhidi ya KMC. Dakika 45 za mwanzo zimemeguka huku Yanga kupitia kwa Dickson Job ambaye ni beki amepachika bao la kuongoza kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC. Ni dakika ya 16 Job wa Yanga mwenye tuzo ya…

Read More

MWANZO WA LIGI USHINDANI MUHIMU

KAZI imeanza kwenye anga la kitaifa na kimataifa kwa kila timu kuwa kwenye majukumu yao kutimiza kile ambacho ni muhimu uwanjani. Msimu mpya unakuwa na mengi mapya kuanzia ratiba pamoja na wachezaji kuwa katika presha ya kufanya vizuri zaidi kuongeza mwendo wa kuwa bora. Sio Namungo pekee wenye presha ya kufanya vizuri bali Singida Fountain…

Read More

KOCHA NAMUNGO ASHUSHA PRESHA

KOCHA Mkuu wa Namungo, Cedrick Kaze amesema kuwa watazidi kuwa imara taratibu kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya kwenye mechi zao zote za ligi. Timu ya Namungo ilianza kwa kupoteza mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya JKT Tanzania kwa kufungwa bao 1-0 na mchezo wa pili ilipata sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya KMC….

Read More

GONJWA LINALOITESA SIMBA LAHAMIA YANGA

IPO wazi kuwa maumivu yanayowatesa mastaa wa Simba wakiongozwa na Clatous Chama na Saido Ntibanzokiza yanawaliza na mastaa wa Yanga kwenye anga la kitaifa na kimataifa. Ni janga la kutumia mapigo huru ya kona kwenye mechi zao wanazocheza kuwa ni hasara kubwa kwa kuwa hakuna iliyowapa bao ama kusababisha bao wakiwa uwanjani. Simba chini ya…

Read More