DILI LA CAICEDO LINAKWENDA KUANDIKA REKODI MATATA
IKIWA dili lake litakamilika rekodi mpya inakwenda kuandikwa Uingereza kwa gharama ambazo zitatumika kuipata saini ya Moises Caicedo kutoka Brighton kwenda Chelsea. Imeelezwa kuwa kuna nyongeza katika mkataba imeongezwa na kufikia dili lenye thamani ya pauni milioni 115 na Chelsea wamekubali ada ya rekodi ya Uingereza ya pauni milioni 115 na Brighton kwa ajili ya…