SIMBA YATWAA NGAO YA JAMII, SALIM SHUJAA

NGAO ya Jamii ni mali ya Simba baada ya kupata ushindi kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi ndani ya Uwanja wa Mkwakwani. Ilikuwa ni fainali ambayo Yanga walikuwa na nafasi kubwa kwenye upande wa kupata matokeo ndani ya dakika 90 kutokana na mashambulizi waliyokuwa wakiyapeleka kwa Ally Salim. Hilo pia limedhihirishwa na nahodha wa Yanga Bakari…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA SIMBA

KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Agosti 13 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kimetambulishwa tayari. Huu ni mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ambapo Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi itamenyana na Simba. Ni Djigui Diarra langoni  Yao Lomalisa Mutambala Bakari Nondo Bacca Aucho Max, Mudathir Mzize Kennedy Musoda Jesus Moloko

Read More

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA FAINALI NGAO YA JAMII

NI fainali ya Ngao ya Jamii, Tanga ikiwa ni mchezo wa Kariakoo ndani ya Tanga kati ya Yanga dhidi ya Simba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo Roberto Oliveira ametambulisha jeshi lake atakaloanza nalo namna hii:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein Kennedy Juma Che Malone Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Yassin John…

Read More

YANGA V SIMBA, HII GEMU HAINA MWENYEWE

WEKA ngoma ipigwe wanasema tumewafuata waliotangulia ni kueleka mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga  V Simba. Kila timu ina nyota wapya ikiwa ni pamoja na Jonas Mkude, Skudu Makudubela na Maxi Nzengeli kwa Yanga, Luis Miquissoe, Willy Onana kwa Simba. Ikumbukwe kwamba Yanga waliitungua mabao 2-0 Azam FC kisha Simba wao walipenya kwa…

Read More

AZAM FC WASHINDI WA TATU NGAO YA JAMII

AZAM FC chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo ni washindi wa tatu Ngao ya Jamii baada ya kuwashinda Singida Fountain Gate. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga umesoma Azam FC 2-0 Singida Fountain Gate. Mabao ya Prince Dube na Sopu yametosha kuimaliza Singida Fountain Gate. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Dabo kushuhudia timu hiyo…

Read More

SIMBA WANA ZALI NA MKWAKWANI

KATIKA mechi mbili za hivi karibuni ambazo Simba ilicheza Uwanja wa Mkwakwani, Tanga haijapoteza. Simba imekuwa na zali ndani ya dakika 90 kutopoteza kwenye mechi za ushindani ambazo walicheza na leo wana kazi ya kufanya dhidi ya Yanga. Ni Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo Yanga na Simba zote zimeweka…

Read More

YANGA HAWAJAPOTEZA MKWAKWANI, TANGA

YANGA kwenye mechi mbili walizocheza Uwanja wa Mkwakwani hivi karibuni hawajapoteza hata mmoja. Ilikuwa ni fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Azam FC, kwenye mchezo huo Yanga walishinda bao 1-0. Mchezo wa pili kwa Yanga ilikuwa dhidi ya Azam FC katika hatua ya nusu fainali ya kwanza ya Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkwakwani….

Read More

IWE NI KARIAKOO DABI YA AMANI

KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuwa leo Uwanja wa Mkwakwani ambapo hii ni hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa timu zote kusaka ushindi. Ni Yanga dhidi ya Simba mchezo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki na wachezaji wenyewe kuonyesha uwezo wao uwanjani. Baada ya maandalizi ya muda pamoja na usajili kuendelea kufanyika wakati uliopo sasa…

Read More