SIMBA YAANZA KWA USHINDI DHIDI YA POWER DYNAMO
KATIKA kilele cha Simba Day Agosti 6 2023 maelfu ya mashabiki waliojitokeza Uwanja wa Mkapa wameshuhudia burudani kutoka kwa mastaa wao waliotambulishwa. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba 2-0 Power Dynamo ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki. Mabao ya Simba yamefungwa na Willy Onana dakika ya nne na Fabrince Ngoma dakika ya 75…