VIDEO:KISUNGA ACHARUKA USAJILI WA SIMBA/BANDA/SAKHO
IKIWA ni wakati wa dirisha la usajili kwa timu zote Bongo Kisugu amefunguka kuhusu namna ya usajili unavyoendelea akimzungumzia Joash Onyango ambaye amekwenda Singida Fountain Gate. Onyango ni miongoni mwa mabeki bora ndani ya Simba lakini hatakuwa katika kikosi hicho na badala yake atakuwa ndani ya Singida Fountain Gate. Pia amezungumzia kuhusu usajili wa Fiston…