MWAMBA MWINGINE AMETAMBULISHWA HUKO
UONGOZI wa Dodoma Jiji umebainisha kuwa upo sokoni kimyakimya kwa ajili ya kuboresha timu hiyo na umekamilisha usajili wa nyota Idd Kipagwile aliyekuwa Polisi Tanzania. Kwa sasa timu zote Bongo zinaendelea na usajili ikiwa ni Yanga ambayo imemtambulisha mzawa mmoja pekee Nickosn Kibabage mpaka sasa ambaye alikuwa ndani ya Singida Fountain Gate. Mbali na Yanga…