ALIYEKUWA ANAWINDWA NA YANGA HUYO KAIZER
MKALI wa kutupia kutoka Marumo Gallants ya Afrika Kusini, Ranga Chivaviro ametambulishwa rasmi na kuwa ni mchezaji halali wa klabu ya soka ya Kaizer Chiefs ya nchini humo. Mshambuliaji huyo kutoka Marumo Gallants iliyoshuka daraja msimu uliopita amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo kwa muda wa miaka miwili huku kukiwa na chaguo la kuongeza mwaka…