NYOTA WA YANGA WATAMBULISHWA GROUP LA WhatsApp

IMEFAHAMIKA kuwa Singida Fountain Gate tayari imefanikiwa kuwasajili nyota wawili kutoka Yanga, David Bryson na Dickson Ambundo ambao tayari wametambulishwa kwa wachezaji wenzao kupitia Group la WhatsApp. Tayari Ambundo amekutana na ‘Thank You’ Yanga baada ya kutangaza kuachana nao katika msimu ujao kutokana na mkataba wake kumalizika. Chanzo cha habari kutoka kwa mmoja wa viongozi…

Read More

HIZI HAPA SABABU YA SIMBA KUWEKA KAMBI UTURUKI

SIMBA wanatarajia kwenda Uturuki kuweka kambi ya maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na mashindano ya ndani ikiwemo Azam Sports Federation (FA) 2023/24. Mataji hayo yote kwa msimu wa 2022/23 yalichukuliwa na watani zao wa jadi Yanga huku Simba ikipishana na mataji yote. Yanga iligotea nafasi ya kwanza kwenye…

Read More

MAPENDEKEZO BENCHI LA UFUNDI YAFUATWE KUEPUKA LAWAMA

HEKAHEKA za usajili kuelekea msimu mpya wa mashindano kwenye Ligi Kuu Bara zimeanza baada ya msimu wa mashindano wa 2022/23 kumalizika. Ipo wazi kuwa Yanga wamefanikiwa kubeba kila kombe kwenye mashindano ya ndani kuanzia Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na lile taji la Kombe la Shirikisho la Azam. Timu zote iwe zile zinazoshiriki Ligi…

Read More

YANGA NDANI YA MALAWI SALAMA SALMIN

MSAFARA wa Yanga umewasili salama leo Julai 5 2023 kwa ajili ya mchezo maalumu wanaotarajia kucheza kesho Julai 6. Timu hiyo imepewa mualiko maalumu na Serikali ya Malawi ambapo ni kwenye mchezo maalumu wa kutimiza miaka 59 ya Uhuru. Miongoni mwa wachezaji wa Yanga ambao wapo kwenye kikosi hicho ni pamoja na Metacha Mnata, Clement…

Read More

BREAKING:ONANA NI MALI YA SIMBA

NI Essomba Onana nyota mpya ndani ya kikosi cha Simba ukiwa ni usajili wa kwanza kutangazwa kuelekea msimu wa 2023/24. Nyota huyo amepewa dili la miaka miwili alikuwa anakipiga ndani ya Rayon Sports. Mwamba huyo anakuja kushiriki ligi ya Bongo akitokea Rwanda huku mabingwa watetezi wakiwa ni Yanga. Simba inatarajiwa kuweka kambi Uturuki kwa ajili…

Read More

YANGA HAO MALAWI KWA KAZIKAZI

MSAFARA wa Yanga leo Julai 5 umeanza safari kwa ajili ya kuelekea nchini Malawi. Timu hiyo imealikwa katika mchezo maalumu wa siku ya Uhuru ikiwa ni miaka 59 ya Uhuu wa Malawi. Julai 6 kikosi cha Yanga kinatarajiwa kucheza mchezo maalumu katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru. Miongoni mwa nyota waliopo katika kikosi ni…

Read More

KMC KUPITA NA THANK YOU KWA NYOTA 11

BAADA ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa ushindi kwenye mchezo wa mtoano KMC imewaandikia mastaa 11 barua za kuwapa mkono wa Thank You. Ni Yanga wamesepa na ubingwa wa ligi kwa msimu wa 2022/23 hivyo KMC nao wanapiga hesabu za kufanya vizuri katika msimu ujao. Ipo wazi kwamba kwenye mechi waliyokutana na Yanga…

Read More

MAJEMBE MAWILI YA KAZI NDANI YA AZAM FC

MASTAA wawili wametambulishwa ndani ya Azam FC kwa ajili ya msimu wa 2023/24 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Tayari 2022/23 imegota mwisho huku mabingwa wakiwa ni Yanga waliotwaa taji hilo chini ya Nasreddine Nabi. Yanga kwa sasa inaendelea na maboresho ya timu kupambana na wapinzani wao msimu ujao ikiwa ni pamoja na Azam FC ambao…

Read More

FURAHA YA SASA IDUMU MWANZO MWISHO

KILA mmoja wakati wa usajili anaonekana kuwa na furaha akivutia upande wake kuwa usajili utakuwa bora na imara. Sio Simba, Yanga, Geita Gold mpaka Mtibwa Sugar neno ni moja watafanya usajili mzuri utakaoleta matokeo chanya. Singida Fountain Gate FC hawa wanashiriki mashindano ya kimataifa kama ilivyo Azam FC ambao wameanza kutambulisha mashine zao za kazi….

Read More

VIDEO:ISHU YA USAJILI SIMBA WAMTAKA ADEBAYO/ONYANGO

JULAI Mosi 2023 dirisha la usajili limefunguliwa huku mashabiki wa Simba wakiweka wazi kuwa wanahitaji wachezaji bora ambao watawapa furaha na mataji. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Simba imepishana na mataji muhimu ambayo yamekwenda Yanga. Yanga imetwaa ligi, Ngao ya Jamii na Azam Sports Federation huku Simba ikiambulia nafasi ya pili kwenye ligi

Read More

YANGA KUANZA KUSHUSHA VYUMA VYA KAZI

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa tayai timu hiyo imeshakamilisha zoezi la usajili kwa ajili ya kusuka kikosi hicho. Yanga ni mabingwa wa ligi msimu wa 2022/23 baada ya kugotea nafasi ya kwanza na pointi 78 kibindoni. Timu hiyo ya Yanga imewapoteza wapinzani wao ikiwa ni pamoja na Simba iliyogotea nafasi ya…

Read More

WENGINE WATAMBULISHWA AZAM FC WAWILI

KHALIFA Ababakar Fall ametambulishwa kuwa kocha wa makipa na Ibrahim Diop ni mchambuzi wa mechi (Video Analyst), wote raia wa Senegal ndani ya Azam FC. Ni Julai 3 makocha hao wametambulishwa ndani ya kikosi cha Azam FC kinachotumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi za nyumbani. Timu hiyo ipo kwenye maboresho ya kikosi hicho ambacho…

Read More