VIDEO:ISHU YA USAJILI SIMBA WAMTAKA ADEBAYO/ONYANGO
JULAI Mosi 2023 dirisha la usajili limefunguliwa huku mashabiki wa Simba wakiweka wazi kuwa wanahitaji wachezaji bora ambao watawapa furaha na mataji. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Simba imepishana na mataji muhimu ambayo yamekwenda Yanga. Yanga imetwaa ligi, Ngao ya Jamii na Azam Sports Federation huku Simba ikiambulia nafasi ya pili kwenye ligi