
YANGA YAMKOMALIA MTAMBO WA MABAO
WAKATI akiwa anatajwa kutaka kuondoka ndani ya kikosi cha Yanga mabosi wamemkomalia nyota wao mwenye mabao 24 katika mashindano ya Kombe la Shirikisho na Ligi Kuu Bara. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 17 kwenye ligi akiwa na mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na kote kasepa na kiatu cha mfungaji bora nyota huyo wa…