
SIMBA YATANGAZA MDHAMINI MPYA, MKWANJA MNONO KUVUNWA
UONGOZI wa Simba leo Jui 16 2023 umemtambulisha mdhamini mpya ambaye atasimamia masuala ya utengenezaji wa jezi za timu hiyo ambayo imeshuhudia ubingwa wa ligi ukienda kwa watani zao wa jadi Yanga. Awali mpango kazi wa jezi za Simba ulikuwa unasimamiwa na VunjaBei ambaye alikuwa akitenda kazi hiyo baada ya kushinda tenda na alitoa ajira…