
KIMATAIFA: USM ALGER 0-1 YANGA
UBAO wa Uwanja wa Julai 5 nchini Algeria unasoma USM Alger 0-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za kwanza. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo Yanga imepata bao la mapema katika fainali ya pili itakayoamua mshindi wa Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la kuongoza kwa Yanga limefungwa na Djuma Shaban dakika ya 6 kwa pigo…