
YANGA KAMILI KUWAVAA WAARABU KIMATAIFA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mchezo dhidi ya USM Alger kwenye fainali ya pili ugenini. Waarabu hao wa Algeria wanafaida ya mabao mawili waliyopata ugenini mbele ya Yanga huku mtupiaji wa bao la Yanga akiwa ni Fiston Mayele. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao…